MCHAKATO WA KUWAPATA WATOTO WASIOJIWEZA KADRI YA UWEZOWETU, TULIKUMBA NA VIKWAZO VILIVYOTUFANYA TUONEKANE VIJANA WAAJABU SANA KWAMBA TUNAWATAKA WATOTO HAO KWANINI
BAADHI YA WAZAZI WALIZUIA, PONGEZI KWA WALIOTURUHUSU KUWA NA WATOTO HAO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA FAMILIA DUNIANI. HUADHIMISHWA TAREHE 15 MAY LAKINI KUTOKANA NA KUBANWA NA SHUGHULI ZA KIMASOMO TULIAMUA KUIFANYA SIKU YA TAREHE 11, TULIANZA KUWATEMBELEA WATOTO WAGONJWA KITETE HOSIPITALI YA MKOA WA TABORA.
JUMA KUSHOTO, AYUBU NA IMMA KULIA WAKIWA NJE YA UKUMBI WA RAYAL CLUB TABORA
WAKAPELEKWA KULA KWANI WALIDAI HAWAJALA CHOCHOTE, BAHATI MBAYA IMMA {KUSHOTO} ALITUTOROKA KATIKA MAZINGIRA TULIYOSHINDWA KUYAELEWA MARA BAADA YA KISHIBA... HAYA JUMA TWENDE.
NYOA KWANZA NYWELE UPENDEZE
historia ya Juma (12), yatima, anaishi na bibi, hasomi, ni ombaomba, kitu ambacho hatakisahau maishani ni siku aliposingiziwa wizi akapigwa manusura wamchome moto akapelekwa polisi ambako alitolewa na bibi yake hali iliyomfanya pia asije msahau bibi yake
MASHAKA AKIWA NA BIBI YAKE AMBAYE NI JIRANI NA SALUM AMBAO WOTE WALIKUTANISHWA PAMOJA NA KUSHIRIKI SIKU YA FAMILIA
TOKA KUSHOTO SALUM, MASHAKA NA JUMA. SALUM YEYE HANA BABA WALA MAMA ANASOMA DARASA LA SITA, TULIJUMUIKA NAO WOTE PAMOJA KWA KUSHIRIKI MAWAZO, KULA, KUCHEZA NA MENGINE.
UTAMBULISHO ULIOWAVUTIA WENGI: MRS AND MR FARAJA, WAZAZI WALIOJUMUIKA NASI KAMA FAMILIA MOJA. WALITUASA KUJIKITA NA MAMBO YATAKAYOISHI KWA MUDA MREFU NA SIO STAREHE ZA MUDA MFUPI.
BAADA YA BABA, NASAHA ZA MAMA SASA.
MWENYEKITI AKIELEZEA MAZINGIRA ENDELEVU YA KUWAJALI WATOTO KAMA HAWA
KUTOKA KUSHOTO BABA, DEBORA KAMA MTOTO ANAYEZALIWA UPYA KATIKA FAMILIA HII MPYA YA KUJALI WENZETU, NA KULIA NI MAMA
BURUDANI NI JADI YA FAMILIA YETU (WATOTO WOTE KWAITO MTINDO MMOJA)
BAADA YA KUTAFUTA NJAA, WANAFAMILIA TUUNGANE NA TULE PAMOJA
MPENDWA SALUM
KARIBU MASHAKA
MWISHO TULIADHIMIA JUMA AANDIKISHWE SHULE, ALIPIWE GHARAMA ZOTE ZA MAHITAJI YA SHULE NA CHAKULA, PIA KUTUMIA FURSA KUBWA YA KUWANUNULIA MADAFTARI WOTE NA KUYAKAGUA KWA MUDA MAALUM UTAKAOPANGWA
0 comments :
Post a Comment