KUBALI KUWA ULIYE MZIMA WA LEO NI MGONJWA WA KESHO, KAMA USIVYOPENDA KUJITAKIA MABAYA NDIVYO HIVYO TUWATAKIE MEMA NA WENZETU. YAONE YALIYOJILI.
TULIKUTANA KABLA YA KUONDOKA, TUKIKUMBUSHANA MASHARTI YA HOSPITALINI
MGUU KWA MGUU TWENDE TUKACHUKUE CHOCHOTE CHA KUWAPA WAGONJWA
NI ZAWADI KADHAA ZILIAMNDALIWA KWAAJILI YA WAGENI WETU
HOSPITALI YA MKOA WA TABORA- KITETE
BAADA YA KUKARIBISHWA
TUKIELEKEA MAWODINI (WODI ZA WATOTO)
WMWENYEJI WETU EDITH GYEI KUSHOTO AKIWA NA KATEMBO O. MSIMAMIZI WA MIPANGO YA KIKUNDI
AFISA MUUGUZI AKITAJA MANESI WALIOKO ZAMU KWA MAJINA YAO.
NESI WINIFRIDA LYOBA KUSHOTO NA E.MAGANGA KULIA WAKIANDIKA RIPOTI
BUCHARD- MWANACHAMA AKITOA UTANGULIZI KWA WAZAZI WA WAGONJWA NA WAGONJWA WENYEWE
YUSUFU AKITOA MANENO YA FARAJA KWA MGONJWA
POLE, NA ZAWADI ZINATOLEWA KWA WAGONJWA
YASINI LEMA AKISAMBAZA MAJI
MTOTO KALALA TULI
SAFI, BABA HAPA MAMA HAPO TUTUNZE WATOTO, BWANA MOHAMED HUSEIN NA MWANAE HUSSEIN MOHAMED, HAPA CHINI AKIWA NI MKEWE AMBAE NAYE ANAUGUZA MDOGO WA HUSSEIN WOTE WANAUMWA MALARIA
MAMA HUSEIN WOTE NA MUMEWE NA WATOTO WAWILI WOTE WAGONJWA
MWENEKITI AYUBU AKITOA POLE ZAKE
UJUMBE WA POLE KWA UJUMLA UKITOLEWA
MANENO YA FARAJA NA POLE KWA WAGONJWA YAKITOLEWA NA BUCHARD
HUYU MTOTO ALIYESUKUMWA NA WENZAKE AKAVUNJIKA MIGUU, TUWE MAKINI INAHUZUNISHA.
MTOTO JOSEPH AMEVUNJIKA MGUU ALIPODONDOKA KWENYE MTI. YUKO DARASA LA KWANZA.. NDOTO ZAKE NI KUWA DEREVA
TULIPOKELEWA VIZURI NA WALITUOMBA ISIWE MWISHO, TULIAHIDI KUENDELEA, WITO KWA WADAU WENGINE KUGUSWA NA MAMBO YA MSINGI KAMA YA AFYA YA MTU YATHAMINIWE
0 comments :
Post a Comment