Hot News
Loading...

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA UN-CHAPTER AMUCTA 22/04/2012

UCHAGUZI UMEENDESHWA KWA HAKI NA ULIKUA WAKIDEMOKRASIA KWA KUFUATIA SHERIA YA CHAMA ILIVYOTUONGOZA UPATIKANAJI WA VIONGOZI MPYA WENYE SIFA STAHIKI KUWA VIONGOZI.

EXCOM Members
From the right (Peter, Mary, David, Fatuma & Yusufu)
Mchakato wa uchaguzi ulianza mnamo tarehe 01/03/2012 ambapo kiliitishwa kikao na kutangazwa rasmi kwa zoezi zima la uchaguzi wa viongozi wapya. Uchaguzi mzima ulisimamiwa na kamati kuu ikishirikiana na viongozi waliokuwepo madarakani, nafasi zilizokuwa zikigombewa ni mwenyekiti, makamu m/kiti, katibu, katibu mtendaji
Wagombeea walijitokeza kwa nafasi mbalimbali kugombea ikiwa walitakiwa kuzikusanya fomu hizo tarehe 10/04/2012, baada ya fomu hizo kukusanywa; mnamo tarehe 15/04/2012 wagombea kwa nafasi zao mbalimbali waliumana vikali na mahojiano (interview) iliyokua na lengo hasa la kuwafahamu vizuri wagombea hao, interview hiyo ilisimamiwa na kuendeshwa kwa ueledi mkubwa mwenyekiti wa kamati hiyo akiwa ni Mlelwa David na wajumbe wendine kama Yusufu Ismail, Dioma Fatuma na wengineo. Na mwisho matokeo hayo yaliwaruhusu wagombea kuomba kura kwa wanachama.


Kiama kilipofikia tarehe 22/04/2012 ndipo mambo yakawa hadharani kwa wagombea kuijua hatima yao dhidi ya hukumu za wapiga kura na kuibuka na uongozi mpya wa Chapter.

Mambo yaliyojili katika uchaguzi huo ni pamoja na mgombea Richard Erodaster kutangaza kujitoa na sababu yake ni kutaka kuweka usawa wa kijinsia kwani nafasi aliyokuwa akigombea alichuana na msichana Mdimi C. Rachel, mgombea huyo aliwaomba wanachama kumpa kura mgombea mwenzake.

Changamoto iliyotawala mojawapo ilikua ni kutokuwepo kwa baadhi ya wagombea na nafasi zao hazikuweza kudhuru kuendeleza zoezi la uchaguzi, wapiga kura hawakufungwa kuwachagua wale wasiokuwepo iwapo waliwaamini lakini katika kupiga kura hizo usemi wa “asiyekuwepo na lake halipo” ulitimaia.

Pia chakuhuzunisha na chaajabu ni pale uongozi mpya uliopatikana kuwa na msichana mmoja tu aliyeshinda. Wito kwa wasichana, mnaombwa kujitokeza kwenye nafasi nyingine zaidi kiutendaji ili kuweza kujikwamua na mfumo dume ambo umetawala karibu kila sehemu Tanzania.

PICHA ZA WAGOMBEA
GIDEON AYUBU (AMESHINDA UENYEKITI) HAKUA NA MSHINDANI
 



MDIMI RACHEL. MAKAMU M/KITI

RICHARD ERODASTER. MGOMBEA ALIYETEMA NAFASI HIYO
DAKIKA ZA MWISHO NAKUMPIGIA KAMPENI MPINZANIA WAK

 MUHOJA NESTORY. KATIBU MKUU. (KAMSHINDA MPINZANI WAKE WAKULICHOMBE A.)
KANATALI JOSEPHAT. KATIBU MSAIDIZI
SINEDA KADASO. MHASIBU
KAMARA SAUMU.(aligombea nafasi ya uhasibu)
MLAWA ALOYCE. AFISA HABARI (HAKUWA NA MSHINDANI)
KATEMBO ORIVER. HEAD OF PROJECT(HAKUA NA MPINZANI)
 BAADHI YA WANACHAMA WALIOHUDHURIA
 WANACHAMA
 EXCOM

UUONGOZI MPYA
 UONGOZI MPYA
AGGARY MUSA. MWANACHAMA ALIYETOKOMEA KWA MUDA NA KUTHUBUTU KUIACHA TABIA HIYO KWA KUDAI KUWA AMERUDI UPYA




Share on Google Plus

About un chapter amucta

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

  1. Katembo, oliverApril 25, 2012

    nice to see this interesting story on what hapened the day when new gvt came into work.But what members should know is that leaders only they can not archieve any thing but cooperation is highly needed for success.Nice job.UN-AMUCTA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.......'

    ReplyDelete
  2. junior lemaMay 14, 2012

    oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,tanx katembo

    ReplyDelete

Redio ya Umoja wa Mataifa

UNIC Dar es Salaam