Hot News
Loading...

UN-CHAPTER AMUCTA TOUR: View Photos here

 WANA UN-CHAPTER AMUCTA KATIKA PICHA KWIHARA MAKUMBUSHA AMBAYO YAKO CHINI YA WIZARA YA MAMBO YA KALE
SAFARI ILIVYOANZA KUTOKA CHUONI AMUCTA KUELEKEA KWIHARA
NJIANI TULIMPOKEA MWENYEJI WETU MSTAAFU AMBAYE ALITOA MCHANGO WAKE WA MAELEZO KWENYE SEHEMU HIYO YA MAKUMBUSHO 
 WANACHAMA NA WANAFUNZI WENGINE WAKISIKILIZA MHITASARI KABLA YA KUINGIA NDANI
 VIAZI VITAMU (MATOBORWA-KINYAMWEZI) VILIVYOSABABISHA MJI/MKOA ULIOITWA UNYANYEMBE KUITWA TABORA

 HAPA NDIPO JOHN WILLIAM ALIPOJIPIGIA RISASI BAADA YA KUUGUA, JOHN NA HENRY STANLEY WALITUMWA NA GAZETI LA NEW YORK HERAD KUMTAFUTA LIVINGSTONE

RUPIA YA MJERUMANI

 NEW YORK HERALD NEWSPAPER (1835)
GAZETI LILILOWATUMA WAZUNGU 2 (JOHN WILLIAM + HENRY STANLEY) KUMFUATILIA LIVINGSTONE KAMA YU HAI.
 HATI YA LIVINGSTONE
 KITI WALICHOKALIA NA KUKARIBISHIWA WAHESHIMIWA TOKA ULAYA
 LIVINGSTONE ALIPOONDOKA TABORA KWIHALA HADI LAKE BANGWERUBEMBA 25/08/1872 (ZAMBIA) ALIPATWA NA MAUTI TAR 1 MAY 1873 (60YRS OLD) ALIZALIWA MWAKA 1813. BAADA YA KIFO CHAKE VITU VYOTE VYA TUMBONI VILITOLEWA NA KUZIKWA KADO YA ZIWA BANGWERU KIJIJI CHA KITAMBO, MWILI WAKE ULIPAKWA CHUMVI NA KUANIKWA JUANI NA KISHA ULISAFIRISHWA KWA MIEZI 9 HADI BAGAMOYO NA KUHIFADHIWA KATIKA KANISA LA KWANZA LA WAROMA LILILOJENGWA 1868, BAADAYE ZANZIBAR NA KUPELEKWA SCOTLAND ULAYA

 VIFAA VILIVYOTUMIWA NA WAARABU KUULIA WATUMWA WALIOONEKANA KUTO KUJIWEZA

 NJIA ILIYOTUMIWA NA MWARABU KUSAFIRISHA WATUMWA TOKA MAGHARIBI MWA TANGANYIKA (KONGO, RWANDA NA BURUNDI) HADI TABORA TAYARI KUWASAFIRISHA KWENDA ZANZIBAR (SOKO KUU LA WATUMWA) KUPITIA BAGAMOYO

  MINYORORO ILIYOTUMIWA KUWAFUNGIA WATUMWA KATIKA SAFARI FUPI
 HII ILIKUWA KWA WATUMWA KATIKA MASAFA MAREFU, WALIFUNGWA KUEPUKA KUTOROKA KWA WATUMWA

 VIATU VYENWE ASILI A MTI AMBAVYO VILIVALIWA NA MWARABU
  WALIMOWATUNZIA WATUMWA
 KABURI LA JOHN WILLIAM .S


 SEHEMU YA MWAMBA ULIOKUWA UKITOA MAJI NA KUFANYA BWAWA AMBALO WATUMWA WALIOGA KWA WIKI MARA 2
 SEHEMU YA JIWE INAYOAMINIKA KUWA NI ALAMA YA MAKALIO YA MOJA WATU WA KALE.
 SEHEMU YA JIWE AMBAPO HILO TUNDU NI SEHEMU MKUKI ULICHOMEKWA
  




 WANACHAMA WAKIANGALIA SEHEMU AMABAYO WATUMWA WALIOGA
Share on Google Plus

About un chapter amucta

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

Redio ya Umoja wa Mataifa

UNIC Dar es Salaam