Hot News
Loading...

Inauguration Ceremony



SHEREHE ILIFAANA KWA UWEPO WA MGENI RASM I BW. KAWICHE, MWL MLEZI BW.ONG'ANG'A, WAGENI WALIKWA MAARUGU, MAZAGWA, MSUMBA (WOTE NI WAHADHIRI) WALIONGOZANA NA DEAN OF STUDENTS FELISTA. BILA KUSAHAU JOPO LOTE LA VIONGOZI NA WANAKAMATI.

SHEREHE ILIHUDHURIWA TAKRIBANI NA WATU WASIOPUNGUA 120 KUTOKA NDANI NA NJE YA CHUO.

UFUNGUZI WA CHAPTER ULIAMBATANA NA MATUKIO MAKUBWA MAZURI NA YA KUSISIMUA; ZIKIWEMO BURUDANI KAMA KUCHEZA KWAITO, MCHEZO WA KUPONI, BURUDANI ZA MZIKI, UGAWAJI VYETI KWA WANACHAMA HAI NA WANZILISHI WA CHAPTER HAPA CHUONI, KUKATA NA KULISHANA KEKI KAMA KIELELEZO CHA KUFUNGUA RASMI NA KUTAMBULIKA CHUONI IKIWA ZOEZI HILO LILIMHUSISHA MGENI RASMI PAMOJA NA MEZA YAKE KUU, KISHA WANACHAMA NA WAGENI WALIKWA NA MWISHO WATU WALIKULA NA KUBURUDIKA NA MZIKI.

BURUDANI ZA KUIMBA ZILITAWALIWA NA MAARUFU WA KUIMBA KAMA NELSON J, DYANKA G.

SHOO ZA KUCHEZA ZILIHUSISHA WAKALI TOKA TABORA BOYS MAARUFU KA RAIS WA KIPUNGA AMBAO WALIONGOZANA NA MWIMBA MASHAIRI YA KIINGEREZA.

LICHA YA RAIS WA KIPUNGA KUSHUSHA SHOO ZA MAANA LAKINI ULIONESHWA UPINZANI MKALI WA KIBURUDANI AMBAPO VIJANA TOKA STUDENT CENTRE WALIPO POROMOSHA UTAMU TOFAUTI WA KUCHEZA.

TUNAPENDA KUWASHURU WOTE WALIOHUSIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA SHEREHE YETU TUKIANZA NA KIONGOZI MKUU WA CHUO CHETU KURUHUSU KUWEPO KWA KIKUNDI CHETU CHUONI HAPA.

KARIBUNI SANA.
Share on Google Plus

About un chapter amucta

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

Redio ya Umoja wa Mataifa

UNIC Dar es Salaam